Hakuna cha kuchanjia dawa mkuu,, ni hekima na busara tu ndizo zinafanya kazi!! Mvi za huyo mzee zinaonesha busara na hekima, lakini cha ajabu kuna mengine yameota mvi mpaka kwenye ndevu lakini busara ni "zero" (hiyo "0" isome kiswahali kama anavyotamka mkulu).Huyu lowassa atakuwa kachanjia dawa ya ngekewa ingawa Kuna watu wanajitahidi kumpaka matope lakini jamaa anazidi kung'aa tu
Anachonga barabara akishamaliza anatupwa kwenye Lori ataharibu barabara.Lowassa ni chaguo la Mungu, kwenye sauti ya Lowassa ndipo Mungu hunena na watu wake, its matter of just time, mtakuja kuona, yote hutokea kwa makusudi ya Mungu
Thank you!Ukawa please grow up hata Mkimsapoti yeyote unafikiri Rais Kenyatta akishinda 2020 Jubilee watatoa upuuzi wa Kuwa sapoti Nyinyi?