Raila Ni Nyerere wa Kenya: Wote wakazaliwa karibu na Ziwa Viktoria Jameni

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 7, 2006
302
2
Wakenya mpeni surpport Raila.Ni mtu mwenye vision

Ben Raila ndio kiboko yao. Kura kwa Raila ni kura kwa mwananchi wa kawaida popote pale alipo nchini. Kura kwa Kibaki ni kura kwa mabepari waliotekanyara uchumi wa nchi yetu toka enzi za Kenyatta. Raila Juu, ODM Juu!

It took Nyerere to release Tanzania from the shackles of the new African bourgeoisie who wanted to colonize Tanzania from within in the 1960s. For us, it has taken a long time for our Nyerere to appear. Now he is here in the form of Raila Amolo Odinga. Kenya, like Tanzania after 1967 will never be the same again after 2007 with Raila in State House.

Mwalimu Kambarage Nyerere kasema, "Wewe fanya jukumu lako na yote yawezekana."
 
Ben Raila ndio kiboko yao. Kura kwa Raila ni kura kwa mwananchi wa kawaida popote pale alipo nchini. Kura kwa Kibaki ni kura kwa mabepari waliotekanyara uchumi wa nchi yetu toka enzi za Kenyatta. Raila Juu, ODM Juu!

It took Nyerere to release Tanzania from the shackles of the new African bourgeoisie who wanted to colonize Tanzania from within in the 1960s. For us, it has taken a long time for our Nyerere to appear. Now he is here in the form of Raila Amolo Odinga. Kenya, like Tanzania after 1967 will never be the same again after 2007 with Raila in State House.

Mwalimu Kambarage Nyerere kasema, "Wewe fanya jukumu lako na yote yawezekana

Kenyan -Tanzania
Uko tayari kufuata azimio lenye misingi kama ya azimio la arusha?.

Kuna wakati mmoja Mwalimu Nyerere alipata kuipiga dongo kenya akasema "kenya is a man eating man society". Mwanasiasa mmoja wa kenya akarudisha dongo akasema" Tanzania is a man eat nothing society"
 
Ya Nyerere yalikua ni makosa ya kisera ambayo hata yeye mwenyewe alikiri.Raila pia ni visionary leader.Ni mtu mwenye Uchungu na nchi yake ambae amedhamiria kuleta mabadiliko.Napenda courage yake aliyoonyesha katika kuunda na kusapport rasimu mbadala ya katiba dhidi ya ile ya serikali na kucomvince mawaziri kadhaa wakajiunga nae hatimae wananchi wakakata Wko's Draft.It was a Good move.

Halafu cheki Odinga alivyojipanga na watu ambao atakaounda nao serikali lakini kibaki hana watu wa kuunda serkali imara,hata kama ata abuse power akashinda election kwa kweli Kibaki anaweza kuwa na Weak government than ever
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom