Raila Acheza Chini-Kwa-Chini Mwanawe Akiugua SA

MwendaOmo

JF-Expert Member
Dec 16, 2013
774
723
Hili ni jambo ambalo sijawahi elewa na Raila. Unawezaje shinda ukicheza densi za chini-kwa-chini na mwanawako ambaye untaka akurithi akiwa mgonjwa hadi kaelekea SA kwa matibabu kwasababu ya tumor na we hapa uko unalia kwa ajili ya miraa.

Usisahau huyu ndiye Raila ambaye wafuasi wake wanacelebrate doctors strike. Wafuasi wake hata hawataki kusikia Uhuru anaongea mambo mengine isipokuwa Mgomo wa madaktari, ilhali jemedari wao hana shida na mwanawe kwenda SA matibabu!!!!!

Hili lashtua kweli.
 
Smh this pettiness hapa

Mnaingilia Rao kutoka kila mahali Nani ameona tukiingilia Family members wa Uhuru???

The ruling party and its supporters mnashida ....

Keep it civil sasa Mtoto wa Raila amefanya nini??

The only reason Watu waliingia ruto is bcoz yeye mwenyewe ndio ali critisize dead beat dads kumbe yeye mwenyewe ni dead beat ....
 
16997713_1020184761447112_3706836551586875521_n.jpg
 
Ameshamtoa kafara Fidel huyu mwingine hawezi shindwa.
Raila atatoa kila kitu ili tu apate Urais lakini Baba the devil is a liar angalia rafiki zake Shivangirai amepata tu kuwa PM mkewe kapigwa ajali watu wanaomboleza yeye kapigwa picha anakula bata.
 
Hili ni jambo ambalo sijawahi elewa na Raila. Unawezaje shinda ukicheza densi za chini-kwa-chini na mwanawako ambaye untaka akurithi akiwa mgonjwa hadi kaelekea SA kwa matibabu kwasababu ya tumor na we hapa uko unalia kwa ajili ya miraa.

Usisahau huyu ndiye Raila ambaye wafuasi wake wanacelebrate doctors strike. Wafuasi wake hata hawataki kusikia Uhuru anaongea mambo mengine isipokuwa Mgomo wa madaktari, ilhali jemedari wao hana shida na mwanawe kwenda SA matibabu!!!!!

Hili lashtua kweli.
SA kapelekwa kwa Pesa ya Kodi Yako. If Yes
Keep it up
If no
Mind your own biz
 
Hehehe! Ndio zao wanasiasa, wote hujitoa ufahamu. Mwanasiasa hata anaweza kuachia mumalizane ndani ya nchi hadi pale atapewa mamlaka. Mfe wote hadi afaulu kwa chochote anachofuata.
Huu mwaka wa uchaguzi tutaona mengi, watapiga hadi push ups
 
Mimi bado nasisitiza ndugu zangu Abaluhya haraka sana wamuunge mkono Uhuru ili nao wafaidi matunda ya taifa yaani washirikishwe katika muundo wa serikali baada ya kura, waache kucheza dansi kwenye majukwa na hasa mjomba wangu Khalwale. Nashindwa kuelewa ni kwanini hawajachoka kumsindikiza Raila wakati Raila kamwe hataki kusikia wa Mulembe wanasindikizwa!
 
Back
Top Bottom