Raia wa Kenya akipambana na Polisi

Raia wa Kenya akipambana na Polisi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,505
Reaction score
2,269
Wakuu,

Hii kali jamani, raia wamechoka kwakweli, ila kuishi Kenya inahitaji ujasiri na ukakamavu kwelikweli, ni drama kwa drama


Source: buzzroom Kenya
 
Vijana bwana mihemko ina waangamiza huku wanasiasa wakigonga glass.
 
Wataanza na vifundo vya miguu,akitoka hapo akili kumkichwa
 
Nadhani yuko kwenye idadi ya wale 30+ waliokufa ila mbona hao gen z wengine wanarekodi badala ya kupambana kumsaidia !?
 
Back
Top Bottom