Kwaajili ya kijilinda mkuu [emoji1]Duh mkuu unahitaji kwa shughuli gani hicho kifaa
Vip talatibu zao zipoje au mpk uwe na nida ?Labda duka la Mzinga.
Kama raia anamiliki "MKWAJU" sembuse "Bangili"?Habari wakuu
Nataka Kununua pingu kwa ajili ya kujilinda, Najua kwa raia wa kawaida nchini kwetu hapa si kosa kisheria kumiliki pingu, Hata hivyo polisi wanasema hakuna sheria inayokataza raia kumiliki pingu, lakini inashauriwa kuwa matumizi yake yawe ya busara na kwa nia njema.[emoji116]
Raia kumiliki pingu si kosa - Polisi
JESHI la Polisi nchini limesema kuwa hakuna sheria inayokataza raia kumiliki pingu licha ya jeshi hilo kuwa na mwongozo wa utaratibu wa matumizi ya vifaa hivyo kwa askari wake. Aidha jeshi hilo limetoa mapendekezo serikalini ya kutungwa kwa sheria itakayozuia raia kumiliki kifaa hicho...www.jamiiforums.com
Naomba anayefahamu kwa hapa morogoro wanapouza vifaa vya usalama kama pingu n.k na gharama yake
Asanteni.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Unamaanisha nini mkuu ?Chonde chonde usijaribu kukitumia kwa ubavu wako wa pili
Nielekeze pa kununuaKama raia anamiliki "MKWAJU" sembuse "Bangili"?
Kama upo DIZIM nenda Tanganyika Arms.
Nipo moroKama upo DIZIM nenda Tanganyika Army.
Kama SGR uje Dar.
Mkuu rabsha ambazo nimeziona kwa familia za marafiki zangu wengine wangekuwa na kifaa hicho wangetumia fasta. Jamaa yangu mmoja walipangana ngumi mchana kweupe na mke wake ambaye ni chibonge,huyu mama akiwa uchi kabisa bila pichu. Ktk
[emoji1][emoji1]Mkuu rabsha ambazo nimeziona kwa familia za marafiki zangu wengine wangekuwa na kifaa hicho wangetumia fasta. Jamaa yangu mmoja walipangana ngumi mchana kweupe na mke wake ambaye ni chibonge,huyu mama akiwa uchi kabisa bila pichu. Ktk
Huwezi kukosa pale, wale ndio wanaotunza silaha hasa bunduki na bastola. Mzee wangu alipotuacha bastola yake tulihifadhi pale, yaani wao ndio wanajua zaidi kuhusu mambo hayo.
Sawa ngoja nifuatilieKwa Moro, nenda pale karibu na bank ya equity kabla hujavuka daraja ukiwa unatokea stand ya hiace zamani (round about) UKIFIKA ni karibu na msafiri pharmacy nadhan linaitwa duka la mzinga
Vipi bado ipo [emoji1]Huwezi kukosa pale, wale ndio wanaotunza silaha hasa bunduki na bastola. Mzee wangu alipotuacha bastola yake tulihifadhi pale