raia mtomboki wa DRC

Shansila

Senior Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
189
Reaction score
36
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekuwa kawaida kwa waasi kujiita majina tofautitofauti mfano Maimai,Banyamulenge n.k!Sasa wengine wameibuka;wanajiita RAIA MTOMBOKI.
 
Hao ni wa zamani wala sio wa leo, ni miongoni mwa vikundi vinavyoform hilo kundi la mayimayi (Majimaji), hao jamaa wa Raia Mtomboki wapo zaidi maeneo ya Bukavu na kuendelea north kIvukundi la pili kubwa na hao majimaji ni la JEan KUtumba, ambalo liko zaidi maeneo sOuth kivu na MAniemamalengo hasa ya hayo makundi ya MAyimayi ni kuikomboa East Congo kutoka kwa Rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…