Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,848
Ni ngum kufikia uamuzi kama huu
kuna jamaa jiran na kwetu alijiua hivihivi kisa mkewe aliwasaidia kaka zake ambao inasemekana ni wezi
Hahahaaaaaaa ntajifanyia experience then ntarudi kukujibuNasikia, nimesema nasikia mwanaume akijinyonga eti uume unasimama!
Hivi ni kweli.
Nasikia, nimesema nasikia mwanaume akijinyonga eti uume unasimama!
Hivi ni kweli.
Hahahaaaaaaa ntajifanyia experience then ntarudi kukujibu
mnyonge bwana ako ili kujiridhisha.......
Sasa ukifa, nani ataleta majibu?
Hahahaaaas Mpwa ntakuavhia namba yangu ya simu tuwasiliane, k ok nadhani hakuna ukweli wowote, but sijui jamani.
Unajua nini mpwa, kuna mkaka alifariki, tukaenda kumuona mochwari, mie nikamgusa eneo nyeti nikakuta uume umesimama wima, nikauliza, wakasema eti sababu alijinyonga.
Hebu ulizia kwa wenzako huko.
Madame kulikoni umguse sehemu nyeti maiti?
Mmmh hii nayo inawezekana mkuu itabidi wafanye uchunguzi . Chochote chawezekanaNilitaka kusema amenyongwa akatundikwa