Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!


wanted to go further by burying him or her alive in unmarked grave
 
Panua uwezo wa kufikiri. Kwa nini tusifikiri ulikuwa mtego kuthibitisha kama mita hizo zilikuwa mbovu au nzima kama ripoti zikivyoeleza. Kumbe ni nzima kabisa, zikafanya kazi kwa sms!!!!

TAFAKARI CHUKUA HATUA
Hakuna kitu kama hicho. Ni utetezi mwepesi na kutafuta namna ya kusafisha wahusika
 
Serikali ina njia rasmi za mawasiliano na hiyo ya SMS haipo na wala si rasmi !
Hiyo ni kwa ajili privacy zako tu mkubwa!
 
Ni sospeter muhongo! Yule mama alimtaja kabisa pm akawa anashoboka na maneno meng na kujifanya hajasikia yaan kuyeyusha
 
maandalizi ya kukabiliana na vikwazo vya ulaya na marekani vinaendelea
 
ipo siku atatuma sms za kuhatarisha hata usalama kama kaweza kutarifu mtu asifumaniwe anaiibia tanzania yetu ni hatari sana anaweza hata tumia magaidi huyu
 
Kutoka kwenye ukurasa wa facebook wa Manyerere Jackton..
MAJIBU KUTOKA OFISI YA PROF.
MUHONGO

Flow meters za kupima mafuta ziameachwa kutumiwa Mwaka 2011. Prof Muhongo hakuwa po nchini wala Serikali mwaka 2011.
Wenye dhamana ya kusimamia mita hizo ni Wizara ya Viwanda na Biashara na siyo Wizara ya Nishati na Madini. Huyo mama na wenzake (Weights & Measures) wako chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara. Mwenye jina la Mwijarubi hana undugu na Prof Muhongo. Mwijarubi ni jina la kawaida sehemu za Ukerewe na Musoma Vijijini. Tusidanganywe.
 
Tulitoa ushauri hapa kwamba JPM aachane na mawaziri ambao walikuwa kwenye serikali ya Kikwete.Sababu za msingi ni kwamba wamezoeshwa wizi,ufisadi,upedeleo,ubabaishaji na tabia zingine za hovyo zinazofanana na hizo.Kwa bahati mbaya tulidharauliwa na matokeo ya kudharau ushauri huo yameanza kuonekana wazi.Waziri mmoja aliyekuwa kwenye serikali ya Kikwete bila aibu ameanza kumzunguuka Rais.Kutuma SMS kwa mhalifu ili kumnusuru na panga la Waziri Mkuu kulikuwa na sababu moja tu,kuficha uovu.Hii ni typical characteristic ya watu waliokubuhu kwenye uovu.Rais Magufuli fukuza kazi waziri huyu,hakufai.Tabia haina dawa ataendelea na uovu wake huyu hawezi kuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…