rahisi akihojiwa na waandisha wa habari

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
708
mwandishi: muheshimiwa umaweza kutuambia kwanini nchi yako ni maskini?
rahisi: hata mimh nashangaa na sijuh kwanini nchi yangu ni maskini.
mwandishi: je mh. unaweza kutuambia kwanini vijana wa kidato cha nne wamefeli sana mwaka huu.
rahisi: unaniuliza hilo swali kwani mimi waziri wa elimu? we mwandishi wa ajabu kabisa mimi mwenyewe mtoto wangu alifeli mwaka jana mkamcheka sasa mlitaka wakwenu wafaulu muendele kumcheka mwanangu hivyo mjue serekali inafanyia kazi kicheko chenu dhidi ya mwanangu
mwandishi: mh na unazumgumziaje kuhusu wanafunzi waliopata mimba
rahisi: hicho ni kiherehere chao kwani hawaonagi matangazo ya kondomu
mwandishi: mh unazunumziaje swala la udini linalojitokeza hapa nchini?
rahisi: aha ilo kwakweli serekali inalishughulikha na kwa kuanza mmeona wenyewe tumelifungia gazeti la mwanahalisi na nikuambie tu tutayafungia magazeti yote yenye kueneza udini nchini sasa tumepata msaada mkubwa kutoka marekani watawatuma cia
 
Siku ya Mei Mosi,Tanga
Unaongeleaje viongozi wa mashirika yaliyogubikwa na ubadgitifu kama ripoti ya CAG inavyoonyesha!?,
Raisi:Kwani huyo CAG kamweka nani,si mimi!
 
unajua unapoandika kiswahili kibovu unatoa radha ya kusoma habari yako?sio rahis ni RAISI
 
Mafia Hii ni jokes kwa hiyo hawezi kuandika kitu kilicho kamili lazima atie ladha ya kukufanya ww uweze kucheka...na kisheria pia ndivo inavotakiwa.
 
okey hapo nimekuelewa mkuu,haina shida unajua kusoma hakushi hio ndio maanake,nimejifunza kitu nilichokua sikijui mwanzoni,asante sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom