englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Wewe unaonekana kabisa ni shabiki wa timu gani...Hahaha wake wabaya kuliko wa UNited
Kwani ubaya wa mke upo kwenye nini?Hahaha wake wabaya kuliko wa UNited
Wewe unaonekana kabisa ni shabiki wa timu gani...
Kwani ubaya wa mke upo kwenye nini?
Kukosa Ubingwa jioni kunauma sana....Yeah mkuu, Die hard fan
Halafu...Kwa hapo tunaanzia wa sura kwanza
Kukosa Ubingwa jioni kunauma sana....
Halafu...
Baada ya hapo?Mengine yanafwata ikiwa tabia na usafi
Wahenga walisema "mshikwa na ngozi ndiye mchinjaji",Sisi tulijua kabisa ubingwa hatupati, tulikuwa tunakimbilia nafasi ya 4 ila wale walioongoza league kwa siku 15 na wakachukua ubingwa
Wahenga walisema "mshikwa na ngozi ndiye mchinjaji",
Mchinjaji alikuwa Arsenal, aliyechuna ngozi ni Chelsea, aliyekata nyama Liverpool lakini mwisho wa siku hakimu kampa ushindi Mshikwa na Ngozi Man City....
Kweli Aiseeee!! Umeona Eeeeeh!!Weusi hawana wake?