Hiyo number 3 kwenye case yako...eeh never mind.
One thing, una roho ngumu kinoma. Upinzani wote unaopata, ila bado unakuja tu. Umetisha kwa hilo.
Kaka inaonekana wewe hausumbuki. tongozo la miaka 3 lina raha yake bwana, lol
Miaka mi3? Duh!
Huwa sitongozi, wala sijawahi. Ndio maana nashangaa kuhangaika kote huko.
Siku utatongoza ndio utajua ladha ya mapenzi. Tena ukataliwe miaka kadhaa, dah. Acha tu baba
Ulishawahi kutongoza kwa miaka mitatu?Siku utatongoza ndio utajua ladha ya mapenzi. Tena ukataliwe miaka kadhaa, dah. Acha tu baba
Bado huwezi kuitwa mkongwe nitarudi kujazia haya~
Ukipigwa na umpendae sema asante.
Ukisikia mumeo anatoka na HG usikasilike mwambie kwa Upendo ni style gani amejifunza huko.
Akilala nje kesho akirudi kwako muulize njozi gani aliota.
Lakini haya yote nitajazia pindi pale tu utakapokuwa mkongwe.
Ahsante
Hahahah umenikumbusha gilesKuna uhakika wa 98% ya huyu mtoa mada kuwa ni mwanaume.
Ni design ya kina gilesi,aminatha mrembo na wenzake
Ulishawahi kutongoza kwa miaka mitatu?
Hahahaahaa.. Haki watu mna maneno hahaha.. Thanks..
Nitaendelea kukutongoza, hiyo ndiyo fantansy yangu. Na siku nikikupata utakuwa teja kama Ray CMwanamke hatongozi baba. wewe unanitongoza mwaka wa ngapi huu? manake nilishaacha kuhesabu.
Nilitaka nikae kimya,lakini nimeona sio vyema.Mrembo Nifah sasa vipi ahadi yetu?
Nitaendelea kukutongoza, hiyo ndiyo fantansy yangu. Na siku nikikupata utakuwa teja kama Ray C
we c umeolewa juzi juzi tuu hapa hata mwezi sizan kama umemaliza.Ndiyo ulimwembe wenyewe huo
Miaka kumi nini! Ongeza kumi. Tena najua ukizeeka utakuwa romantic na huna ujanjaUmeelewa sasa eeh? bado miaka 10 tu nakukubali. Endelea