Raha ya kuwa single

Unakuwa single halafu huna ishu ya kukufanya uwe bize ni majanga.

Ila mbona kama unajitetea au unapigwa sana vibuti ukaona uje kujifaraji JF
hahah mi ninahisi harufu ya tangazo hapa, inabidi ailipie na mods wampe risiti kabisa
 
Hii ndiyo raha ya kuwa single, naamua ninachokitaka, narudi home muda ninaopenda na siulizwi na mtu. Nafanya ninachoweza siulizwi na mtu hata nisipokula home siulizwi nimekula wapi.

Sasa wewe kama upo na msichana usiniige mimi maana lawama sipendi.
Raha nyingine ya kuwa single utajifia bila msaada
 
Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…