RAHA YA KUWA NA MWANAMKE MSOMI na MWEREVU, MESEJI ZAKE

Allelujah

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
452
414
1. Ndio mpenz wangu, nimekumiss sana. Naenda pata lunch, tutaongea vizuri baadae. Love you!

2. Mume wangu kipenzi nazidi kumuomba Mwenyezi Mungu atupe amani na upendo katika familia yetu tarajiwa.

3. Sitaacha kukupenda, nitakuombea na nitaku-support pale ukinihitaji kwa chochote hata kwa ushauri nishirikishe, plz kuwa mwaminifu na mie.

SASA UWE NA MWANAMKE MWENYE BIRTH CERTIFICATE TU

1. Morning babe, send me credo..plz bae

2. Bae plz dont 4get pizza, alaf kuna mtu anauza perfume nzuri kweli. Luv u xo xo

3. Bby time 4 swimming, naenda na my friends then i need some money plz

4. My handsome boy buy me data plz

5. Mpeenzi sijikii kuthoma 2chat bax , mi ntalia.. nshanuna hapa..

6.My hubby naomba hela ya dela la kuendea kwenye 40 ya mtoto wa Maimuna

7.Bebe nataka niende msibani plz plz naomba hela ya saluni tyuuu
 
huyo msomi una uhakika gani kama usaidiwi na wasomi wenziwe hapo kwako may anapotuma SMS kwako may b anajikosha tu...

si bora huyo anayekuomba unamla peke yako
Wa kumla pekeyo sasa hivi anapatikana kwa tochi Geni, bora huyo mwerevu hata msg zake hazileti "hasira", huyu mwingine kila ikiingia msg nadhani hasira zitakuja.

Japo mimi simuweki kwenye group la "msomi", nadhani ni werevu na ustaarabu tu.
 
Huyu wa juu inaweza kuwa hajasoma sana... lakin ni wale wanaolewa maisha.. na mahusiano ni kitu gani.
Lakin ma complicator ni hawa ambao hawajasoma.. hao.. wabish.. wajuaji.. kweli kweli..kumbe kichwani 0
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom