Raha ya kukamatwa na afande

Huoni mkanda aliovaa ni bendera ya Kenya hyo?
Acha kujifanya mjanja,hizo ndo colours za Kenya Police Service,kwenye mkanda.Red,yellow,black.Mbona stesheni zote za polisi Kenya zimepigwa rangi hizo?Tafta picha za polisi wa uganda wanavaa black wengine brown wengine white.Huwa siwaelewi.
 
Hata kama nilkua nataka kula kona ila sikimbii kwa poti kama huyu!

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…