Uungwana Vitendo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,344
- 531
Wee, usituchafue bhana....!!
mmmh ! kweli mkuu, hayo ni majipu sugu.. yametunga kwa mda wa miaka 54 !!!!Hahahah sijui kapaniki au!!
mmmh ! kweli mkuu, hayo ni majipu sugu.. yametunga kwa mda wa miaka 54 !!!!
@Uungwana vitendo Ndo mmeyajuwa leo?
Issa 1000 likes!!Duh pole
Raha ya jipu litumbuiwe toa usaha na damu chafu kisha paka dawa na kusafisha.Halafu unalifunga ili isipatikane upenyo wa kutoka damu tena mpaka linapona.Na kama yapo mengi linatummbuliwa moja moja.Tumbua
Raha ya jipu subiri magufuli aje akutumbue