Kisima,
Alambe kisimani!!??... Bakulini? Kisahanini?
Au,Sehemu yenye kufanana na jina lako?.....
Duniani shida tupu mkuu.....hata ukiwa milionea.....well, mtu anapata kulamba laha hapa na pale...lakini mhh, yataka moyo.
JF kweli sasa inatumika kuondoa frustration!! Matafrani ya maisha au vipi wadau???
Haya, Maalim Jumar fata ushauri ulopewa;"Basi lamba na chumvini na sio kwenye chombo kilichotiwa chumvi"
Ukiipata raha urudi utudokeze na sisi ni wapi uliporamba!!