mkuu for real nnauhakia 100% haujanielewa ..the heading was "Raha na Karaha za weekend" maana yangu weekend ukiwa na refreshment either uwe hela OR kifurushi cha channel kiko okay OR unamtu wa kukufariji weekend haita boa sasa comment nnazoziona ni tofauti na nlichokimaanisha
I BLNG 2 JESUS CHRST