RAHA JIPE MWENYEWE

Duh, akiendelea hivi kwa mwaka mmoja tu, tayari ni mteja wa Hospitali kwa BP na kisukari.
 
Nimependa hakutaka usumbufu wa kwenda kutafuta wanawake wa kumfanya buzi. Hakuta kuchukua gari wala teksi. Kajituliza nyumbani kwake tu kama kasuku.
 
Sukari itoke wapi mtu anakula nyama kama mmsai. Na hujui anakunywa kinywaji gani. Pengine diet ice tea.
Mmmh!
Diet tea? Bia kabisa ile!
Uchambuzi kidogo tu unasema: bia inampa alcohol; sigara-nicotine; nyama choma-cholesterol+carbon monoxide....n.k! Hakuna cha raha hapo!
 
Mmmh!
Diet tea? Bia kabisa ile!
Uchambuzi kidogo tu unasema: bia inampa alcohol; sigara-nicotine; nyama choma-cholesterol+carbon monoxide....n.k! Hakuna cha raha hapo!

 
Hilo jiko ni rahisi kutengeneza na linafaa sana Bongo hasa ikiwa ni mwendo wa kupanga chumba. Hapo baba mwenye nyumba atasikia harufu ya nyama tu.
 


Usikute mnaomlani huyo jamaa mnakunywa hii kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…