Jukwaa linafaa kabisa simba nao wanajitakia huyo ni mtu gani? mimi ninafikiaga kusema wanachama wa Simba na wapiga kura wa Tabora mjini wote akili zao ziko matakoni Rage ni mtu gani wa kumchagua kuwa kiongozi?
Yaani nilivyokuwa nakwazika nikitafakari eti Msomali ndo mwenyekiti wa chama kubwa Simba.
Ingekuwa inawezekana sio tu kumwondoa uenyekiti,ni kumkimbiza kwa bakora hadi somalia asirudi tena bongo huyu.
Huyu Rage si ni mbunge wa Tabora kule kwa Prof. K, daah mwaka huu hiyo kanda ya west watajuta. Walivyo mpindua mara ya kwanza alisema '' timu inapoharibu anatakiwa awajibike kocha na siyo mwenyekiti'' nasubiri nisikie ataongea nini tena.?! Lakini huyu jamaa haishiwi maneno.
Kufuatia kikao kilichokuwa kikiendelea kakika Club ya Simba maamuzi yamefikiwa ikiwa ni pamoja na kumsimamisha Mwenyekiti Aden Rage katika nafasi yake kwa kwenda kinyume na kanuni na taratibu za uongozi.
Chanzo. ITV.
Nimefurahishwa sana na uamuzi wa kamati ya utendaji kutuondolea huyu mwanasiasa uchwara wa kijani na njano,ni uamuzi sahihi kabisa japo umekuja kwa kuchelewa....Hafai hata kuiongoza familia yake huyu jamaa sijui aliwapa nini wanachama wakamchagua.kigeugeu mkubwa huyu aishie zake huko tabora