Rage Atimuliwa Simba!!!

Mods ondoa huu uozo! This is a political forum! It should remain to be the same unless other wise!

Sasa mambo ya Simba wapi na wapi?
 
Jukwaa linafaa kabisa simba nao wanajitakia huyo ni mtu gani? mimi ninafikiaga kusema wanachama wa Simba na wapiga kura wa Tabora mjini wote akili zao ziko matakoni Rage ni mtu gani wa kumchagua kuwa kiongozi?


Oya mkuu acha matusi yako ya jumla jumla!Sema wapigakura waliompigia Rage mwaka 2010 wote akili zao zipo matakoni.Hakuchaguliwa na wote yule Al-shabaab ni wapuuzi wachache tu.
 
Wameshindwa matatizo yao huko Somalia wanatuletea kwetu.! Fukuza huyo alshabab
 
Analeta siasa mpaka kwenye club kubwa kama simba... Akafie mbali hilo li..alshabab.
 
Simba kama ccm siku hizi. Nao mwelekeo unagonga ukuta
Kufuatia kikao kilichokuwa kikiendelea kakika Club ya Simba maamuzi yamefikiwa ikiwa ni pamoja na kumsimamisha Mwenyekiti Aden Rage katika nafasi yake kwa kwenda kinyume na kanuni na taratibu za uongozi.
Chanzo. ITV.
 
Najaribu kutafuta link ya Tabora na ufinyu wa fikra ninapata conection nyingi mpaka nachanganyikiwa ni-conclude na ipi, labda wenzangu mnisaidie ku-narrow down hizi posible connection hapa chini:-

-Kituo cha biashara ya watumwa
-kituo cha biashara ya pembe za ndovu
-Kituo kikuu cha waarabu wakati wa biashara ya utumwa
-Dini ya kiislamu kuenezwa sehemu kubwa na waarabu wakati wa utumwa
-CCM
-

Sijui kati ya hivi ni kipi kina-significant impact katika kudumaza akili za wanyamwezi.

Ila kati ya hayo lazima kipo chanzo cha tatizo
 
hahaaaaaaaaaa...Nicheke mimi Nakapanya,nitafurahi sana kama huyu jamaa kweli atang'oka maana imekuwa ni maombi yangu ya muda mrefu sana,Simba fanyeni kweli basi msiwe maneno tupu......
 
Wacheni bla bla zenu hivi hicho kikao ni kwa mujibu wa katiba ya simba?
Kama ubovu huyu m/kiti wao alikuwa hivyo tangu zamanikwani kitu gani kimebadilika?
 
Soka letu haliwez kuendelea kama rage na yule babu wa yanga anayevaaga ndala rangi mchanganyiko mzee akilimali wataendelea kuwa na maamuzi katika soka.
 
Pumb.av zake fukuza kabisa huyo msomali,jamaa ameharibu kabisa timu ya simba tunayoijua ya akina Madaraka Selemani,Mwameja,Abdul Mashine,Malota Soma na wengineo.Tatizo alichanganya siasa na michezo!
 
Bora atoke hatuwezi kuwa na M/kiti poyoyo kama huyu asije akaikapuya timu,aende Yanga au Somalia makao makuu ya CCM kitengo cha Mwigulu...
 
Huwa najiuliza sana, hivi mnapochangia kwa matusi mazitomazito kama hayo huwa hamuamini wazazi,wadogo zenu hata viongozi wa dini zenu hawasomi hizi topic. Wana Simba onyesheni kama watu wakomavu japo kidogo. Alshaab inahusiana vipi na Rage?
 
Wapiga kura wa Simba na wa Tabora mjini wanaaswa kupimwa akili. Huwa sielewi walikuwa na akili gani.
 
Huwa najiuliza sana, hivi mnapochangia kwa matusi mazitomazito kama hayo huwa hamuamini wazazi,wadogo zenu hata viongozi wa dini zenu hawasomi hizi topic. Wana Simba onyesheni kama watu wakomavu japo kidogo. Alshaab inahusiana vipi na Rage?
Fatilia historia yake,kwa sasa anatembea waziwazi na vitu vya mlipuko...
 
Fatilia historia yake,kwa sasa anatembea waziwazi na vitu vya mlipuko...

Nakumbuka Morogoro alikuwa na kesi ya kumjeruhi kada wa cdm. Huenda yule kada ni Mwanachama wa Simba.
Busara za viongozi ziko chini.
 
aah..... kama ni kweli kazi ipo. Najua punde Rage ataibuka kama kawaida yake na kuwaambia hicho kikao cha kamati ya utendaji ni kama kikao cha send off/harusi. mmesahau aliwahi kwaambia simba hivyo walipotaka kumpindua akiwa ughaibuni na yaliyowakuta mpira pesa? tusubiri tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…