bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,713 Reaction score 24,505 Sep 19, 2023 #61 Mtu Chake said: Hii Kauli aliitoa katika kampeni na akashinda kampeni Click to expand... Kwa kweli alituweza
Mtu Chake said: Hii Kauli aliitoa katika kampeni na akashinda kampeni Click to expand... Kwa kweli alituweza
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,456 Reaction score 130,637 Sep 19, 2023 #62 masare said: Weiterleitungshinweis www.google.com Click to expand... Kwa hii ndiyo ilikuwa kauli ya Rage aliyoifuta baada ya kuwaita mbumbumbu siyo!!!
masare said: Weiterleitungshinweis www.google.com Click to expand... Kwa hii ndiyo ilikuwa kauli ya Rage aliyoifuta baada ya kuwaita mbumbumbu siyo!!!
adriz de mbusii JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 16,786 Reaction score 37,801 Sep 19, 2023 #63 masare said: 😆😆Luc eymael alitoa hiyo kauli akiwa bado ni mwajiriwa wa utoporooo...Rage alitoa kauli na kuitengua muda huo huo mkutano wa wanachama ukiendelea Click to expand... Lakini ya Rage ndio ina nguvu sababu yeye ni mwanachama wa klabu kocha ni muajiriwa tu na anarekodi mbaya ya kutoa kauli za kibaguzi.
masare said: 😆😆Luc eymael alitoa hiyo kauli akiwa bado ni mwajiriwa wa utoporooo...Rage alitoa kauli na kuitengua muda huo huo mkutano wa wanachama ukiendelea Click to expand... Lakini ya Rage ndio ina nguvu sababu yeye ni mwanachama wa klabu kocha ni muajiriwa tu na anarekodi mbaya ya kutoa kauli za kibaguzi.