Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,034 Sep 28, 2011 #1 Mbunge Ismail Aden Rage amepigwa faini ya sh.100000 na kamati ya maadili ya uchaguzi mdogo wa Igunga.Msemaji wa kamati hiyo bwana Protas Magayane amesema faini hii ni kutokana na Rage kupanda jukwaa la kampeni akiwa na Bastola kiunoni.
Mbunge Ismail Aden Rage amepigwa faini ya sh.100000 na kamati ya maadili ya uchaguzi mdogo wa Igunga.Msemaji wa kamati hiyo bwana Protas Magayane amesema faini hii ni kutokana na Rage kupanda jukwaa la kampeni akiwa na Bastola kiunoni.