Hizo ni Picha za pemba sio unguja Mkuu Kuna Tofauti kati ya unguja na pemba.Zenj ni shwari hizo picha "zimechongwa". Mengineyo ni fyoko fyoko!!!!!! GTs wanataka kutuaminisha hayo.
Hakuna cha The Hague hapo maana hakuna mtu atakayeuawa, mtacharazwa tu kwa bakora mpaka mnyooke kama taruma za reli.The Hague inawaita
Najua kuna tofauti kati ya Unguja na Pemba ambazo kwa pamoja hutupa Zanzibar ambayo mimi nimeiita kwa jina la Zenj (Zenjbar). Kwa mantiki hiyo hizo picha za Zenj-iwe Unguja au Pemba hazionyeshi kama huko ni shwari labda kama hizo picha zimechongwa kitu ambacho sikiamini.Hizo ni Picha za pemba sio unguja Mkuu Kuna Tofauti kati ya unguja na pemba.
Zimechongwa kivipi hizo Picha? wakati wewe unajuwa kuwa Rais Magufuli kwa niaba ya chama chake cha CCm wamepeleka Askari visiwani huko utafikiri kuna Vita? Au huoni kwa macho pia? Au huna macho ya kuona? wewe upo wapi kwa sasa ?Najua kuna tofauti kati ya Unguja na Pemba ambazo kwa pamoja hutupa Zanzibar ambayo mimi nimeiita kwa jina la Zenj (Zenjbar). Kwa mantiki hiyo hizo picha za Zenj-iwe Unguja au Pemba hazionyeshi kama huko ni shwari labda kama hizo picha zimechongwa kitu ambacho sikiamini.
Zimechongwa kivipi hizo Picha? wakati wewe unajuwa kuwa Rais Magufuli kwa niaba ya chama chake cha CCm wamepeleka Askari visiwani huko utafikiri kuna Vita? Au huoni kwa macho pia? Au huna macho ya kuona? wewe upo wapi kwa sasa ?