N Njema kabisa JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 699 Reaction score 238 Sep 6, 2015 #1 Jaman jimbo la ubungo si ameachiwa kubenea kupitia chadema? Mbn kuna mgombea wa cuf anatangaza mkutano leo??? Hii imekaaje wadau
Jaman jimbo la ubungo si ameachiwa kubenea kupitia chadema? Mbn kuna mgombea wa cuf anatangaza mkutano leo??? Hii imekaaje wadau
Moi Dinya JF-Expert Member Joined May 29, 2014 Posts 1,296 Reaction score 826 Sep 6, 2015 #4 acha c.u.f wapambane maana kubenea alikuwa anaandika ufisadi wa lowasa leo gazeti lake limekuwa dodoki la kusafisha ufisadi ule ule alioundika... dhambi ya usaliti inamrudia big up mgombea wa c.u.f
acha c.u.f wapambane maana kubenea alikuwa anaandika ufisadi wa lowasa leo gazeti lake limekuwa dodoki la kusafisha ufisadi ule ule alioundika... dhambi ya usaliti inamrudia big up mgombea wa c.u.f
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,842 Reaction score 10,765 Sep 6, 2015 #5 Njema kabisa said: Jaman jimbo la ubungo si ameachiwa kubenea kupitia chadema? Mbn kuna mgombea wa cuf anatangaza mkutano leo??? Hii imekaaje wadau Click to expand... Hiyo inaitwa demokrasia
Njema kabisa said: Jaman jimbo la ubungo si ameachiwa kubenea kupitia chadema? Mbn kuna mgombea wa cuf anatangaza mkutano leo??? Hii imekaaje wadau Click to expand... Hiyo inaitwa demokrasia
haa mym JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 4,857 Reaction score 4,656 Sep 6, 2015 #6 Njema kabisa said: Jaman jimbo la ubungo si ameachiwa kubenea kupitia chadema? Mbn kuna mgombea wa cuf anatangaza mkutano leo??? Hii imekaaje wadau Click to expand... Tunafanya hivyo ili kuogopa kuhujumiwa kama kule mtwara lakini jimbo ni la kubenea teh teh teh UKIWA bhana
Njema kabisa said: Jaman jimbo la ubungo si ameachiwa kubenea kupitia chadema? Mbn kuna mgombea wa cuf anatangaza mkutano leo??? Hii imekaaje wadau Click to expand... Tunafanya hivyo ili kuogopa kuhujumiwa kama kule mtwara lakini jimbo ni la kubenea teh teh teh UKIWA bhana