Rafiki Yangu...

Mentor rudisha chenji, kadava mwaka wa nne? bora hata useme alikuwa round au theatre, kadava 1st year...
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa anaulizwa mapito!!
 
Naomba kuuliza, Kaka Kaiza na Mentor hii issue ni serious au just joke tu
 
Last edited by a moderator:
Mentor rudisha chenji, kadava mwaka wa nne? bora hata useme alikuwa round au theatre, kadava 1st year...

Kaka C6 sio uongo ujue! ni vile mimi sikumbuki vizuri. hilo neno cadaver limenikaa kichwani tangu yuko first year..ndo aliendaga cadaver mara ya kwanza akaacha kula nyama mwezi mzima.
Mwaka huu wa tatu sijui wanafanya nini mwakani atakuwa mwaka wa nne nadhani ndo clinical medicine kama sikosei.

Naona mtu anatafuta umaarufu tu hapa.......

Nani hasa unamlenga hapa:
Mimi KakaKiiza Asnam, mdogo wangu?????????????????

Naomba kuuliza, Kaka Kaiza na Mentor hii issue ni serious au just joke tu

very serious bwana KUN, huwa siongopei jukwaa mimi. Muulize mimisa.
 
Last edited by a moderator:
unaongopea wapi tu Mentor?
 
Last edited by a moderator:
Hivi mwanaume akimpenda dada wa rafiki yake ni dhambi??

Huo ni baadhi ya mitazamo ya baadhi ya nyamaume;
Huwaonea wivu dada zao kwa kudhani wanaonewa kumbe ni wivu
Kutembea na dada au mama wa rafikio raha kweli.

Bazazi ni Bazazi
 
Mdogo wangu akiniambia hivi ntamtembezea mkong'oto wa hari ya juu.. Mentor kwanini mdogo wako akutajie aliyemkatalia na hasikutajie wote aliowakubaria?
 
unaongopea wapi tu Mentor?

Mi amor, mimisa, hata sikumbuki mara ya mwisho nimeongopa ujue..

Huo ni baadhi ya mitazamo ya baadhi ya nyamaume;
Huwaonea wivu dada zao kwa kudhani wanaonewa kumbe ni wivu
Kutembea na dada au mama wa rafikio raha kweli.

Bazazi ni Bazazi

Na huu ni mtazamo wako Bazazi. sikumuuliza..alianza tu kunielezea mwenyewe. sasa sijui anajionea wivu mwenyewe.

Mdogo wangu akiniambia hivi ntamtembezea mkong'oto wa hari ya juu.. Mentor kwanini mdogo wako akutajie aliyemkatalia na hasikutajie wote aliowakubaria?

KUN, kwa sbabau hajawahi kumkubalia mwanaume yeyote bado, labda? unampiga tu kwa sababu ni lazima awe ameshat*mbw* au? think again brother...
 
Last edited by a moderator:
Oh sor yuko mwaka wa tatu dah...sijadanganya niukosea tu. Anaingia mwaka wa nne later this year. Mwaka wa nne ni community nini sijui kaniambia.

haahahahahahaha umeniacha hoi teh teh teh
 
ngoja,ulowadanganya watafunguka tu hapa hapa..jf kuna kila kitu

amedanganya nini nimwajibishe..........................

mdogo wangu hebu nisaidie kama nishawahi kudanganya...mwambie mimisa.
 
Last edited by a moderator:
mdogo wangu hebu nisaidie kama nishawahi kudanganya...mwambie mimisa.

mi mwenyewe hii taarifa imenishtua kidogo, mimisa my broda hasemi uongo kwetu uongo mwiko...................kama una evidence to prove your statement nakukaribisha teh teh teh:twitch::twitch:
 
Last edited by a moderator:
aa sio dhambi....dhambi ni kumpeleka na kumlazimisha mtoto wa watu kunywa vinywaji asivyotaka pamoja na kumshikashika bila hiari yake.
joyness, pokea Savannah moja huko uliko...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…