Rafiki yangu kaniponza


Kilichofuata > yule dem aliweka cm yake pon pa1 na via2 vyake. Kumbe yule dem alikua anajua anapokaa yule rafiki yangu. Akaenda kuripot polisi akafungua kesi kwamba jamaa kamgegeda na hakumlipa kisha akamwibia na hela zake 60,000/= na kumkimbia bar, kwa hiyo anadai amedhalilishwa na kunyang'anywa cm na via2 na wahudum. >Leo asubuh jamaa alikamatwa na yuko nje kwa dhamana.
 

Nampa big up huyo dada!Safi sana,starehe gharama!
 
mkuu umenichekesha balaaa ,stress zimepungua!

Nipe like basi ila pole na mastress bwana tupa kuleeeeee ni ugonjwa hatari kushinda ukimwi coz Unadestroy system ya mwili zote yaani.
 
ifike mahali sasa kila mtu ajigaramie kwa bili yake tukiwa bar
huu mtindo wa kulipiana bill unajikuta unauwa familia na njaa
tuache huo mtindo.
 

hivi Ukahaba Bongo ni legal?me sijaelewa apo. Kesi imeitwaje .wanasheria msaada tutani. Hivi ukimtumia changu bila malipo unashtakiwa kisheria ama inakuweje
 
nimecheka sana..

ila rafiki yako sio mstaarabu maana alipaswa kukuuliza kwanza kama waweza kuwa na hela ya kutosha
 
ulivyo fanya sivyo yule dada km hana kitu kabisa unafikiri ulivyomawcha ni sahihi??? sijapendezwa kabisa

kwa hiyo ulitaka jamaa ndiyo apate majanga? Jamaa mwenyewe ni mjanja maana ametumia 11 na alikuwa na 17 kwa hiyo alikuwa na ziada 6 ambayo ni ya tax hadi home
 

na nyie punguzeni kuokotaokota
 
Hahah yamekukuta..bt wat u did kwa muda huo was th only thng to do..hahahah cdhani kma utarudia tena
 
teheeee
huyo demu lazima aliuza utu ku clear bili..hahahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…