Cryspina
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 298
- 398
Nina rafiki yangu ana rafiki yake ambaye sipo nae karibu sana.
Tulikuwa tunaongea juzi tukiwa tumekunywa wine kidogo. Katika story akaleta confession baada ya kunambia kisa cha rafiki yake.
Alisema huyo rafiki yake kuna siku alikuwa yupo nyumbani na shoga ake walikuwa wamelewa sana na kupuliza shisha. Usiku wake boyfriend wake alipita na yeye alikuwa amepata kinywaji sasa wakawa wamekaa sebuleni wanatazama tv.
Mojawapo ya mafail yalikuwapo ilikuwa ni video ya ngono ikawa inajiplay. Akataka kutoa yule rafiki yake akamwambia aache kwani kuna mtoto hapo ambaye anaogopa kutazama. Wakaanza kutazama mizuka ikapanda huyu rafiki yake na huyu rafiki yangu akamsogelea mwanaume wake akaanza kuinyonya.
Mwenzake kuona hivyo na yeye akasogelea akaomba kuinyonya pia ndipo mambo yakawashinda nguvu wakajikuta wamazama chumbani wote na kufanya mapenzi.
Siku chache baadae yule rafiki yake akaja wakwanywa tena akaomba tena warudie ule mchezo kwahiyo akamwita yule boyfriend tena wakafanya tena kwahiyo imekuwa kama kamchezo.
Sasa rafiki yangu alipokuwa ananihadithia ni kama na yeye amekuwa interested anataka kujaribu aone utamu wake sababu anasema yule rafiki yake na mwenzake wamesifia kuwa wamefika mara nyingi sana.
Akawa ananiongelesha na mimi kuwa kuna ubaya akijaribu hata kidogo kwa siri?
Mimi nikabakia tu bumbu wazi

kumbe wenzetu sasa hivi kunakushare bila uchoyo tena kiroho safi?
Basi kumbe uke wenza unawezekana tena ukawa mtamu kabisa.
Nimshaurije eti jamani?

kumbe wenzetu sasa hivi kunakushare bila uchoyo tena kiroho safi?Basi kumbe uke wenza unawezekana tena ukawa mtamu kabisa.
Nimshaurije eti jamani?