Rafiki yangu ametembea na shemeji yake

dickdickinyo

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
118
Reaction score
53
Nina rafiki yangu ambaye amemuoa mtoto wa shangazi yangu lakini cha ajabu mke wake alimleta mdogo wake juzi kati rafiki yangu akamuhadaha kwa pesa na nimewafumania usiku was manane chooni wakilimega tunda la Adam.

Sasa najiuliza huyu jamaa anaitakia ndoa yake mema kweli?

Wanawake wote hapa mjini hadi utembee na shemeji yako.

Hii ni sawa kweli?
 
Huyo jamaa hajielewi hivi inakiwaje unachanganya ndugu ili iweje sasa
 

mind your own businesses
 
Hapo shida ni ukimwi na mimba tu. Kama ngono salama haina shida.
 

Pole kwa kuishi kwa shemeji mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…