Rafiki yangu amenitapeli, nimfanyeje?

Duuh, Hivo urafiki tu hali hiyo, Je mtu baki itakuaje...Jamani Bongo basi tena!!
 
Usimloge bhna,,si rafiki yako atarudi ko ww tafuta njia nyingne ya kujisaidia.
 
Nilimpa funguo akaenda kwangu kuchukua akanirejeshea funguo baada ya hapo ndo ikawa kwa heli
 

Huyo rafiki yako unaishi naye karibu? Kama ndio je umeenda kumuona kwake ilj ujue ni kwanini hakukuletea PC yako? Unawafahamu ndugu zake au mtu yeyote mwingine mwenye ukaribu naye zaidi yako? Je unajuaje kwamba huyo rafiki yako amekutapeli au amepata tatizo la ghafla lililopelekea yeye kutokuwa hewani hivyo kushindwa kukupa taarifa na kupokea sim&sms zako?
Ni mapema mno kumtuhumu rafiki yako, labda useme tu kuwa kuna kazi ya chuo ulitakiwa kuikamilisha kwa hiyo PC yako. Mambo mengine chukulia kama wengine wanaokopesha pesa au nyanya gengeni na kuahidiwa kulipwa kesho kumbe ni mwezi ujao au pengine wasilipwe kabisa.
 
Maji yakishamwagika yatengenezee njia yajikusanye sehemu moja kisha uyachote. Usijalaumu yashatokea atleast mpe km week hivi tafuta auluhu nyengine
 

Mkate Kitom Beo Hicho Ndo Kimemhamasisha Akutapeli Ili Akahonge. Si Umeona Tevez Alivyofanywa?
 

Sasa kama alikuambia jana yake kwamba ataileta kesho asubuhi kwa nini haukumwambia asubiri kesho maana kama kesho ataipata kwa nini akuazime leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…