Ulichokizungumza Nina ukweli ndani yake. Yaliyo mpata rafiki ako kwa mkewe kuchekwa kwa kebeh labda inaonesha kabisa watu wenyewe hawajiheshim,(hao vijana ).labda niseme hivi,huu mchepuko wangu ni mtu Na busara zake, kunidharau sio rahisi Ila sijui atachukuliaje hilo swala maana hata jana Na juzi ananitumia sms za "usiniache,kukupenda kwangu isiwe tabu uKajaniumiza, oh ur by happiness [emoji134], yaani sijui Na hata sielew itakuaje. "yaan kama moyo wake una wasi wasi coz najaribu kumua void so kama anastuka.