Rafiki wa kiume

Kwani rafik yake hawezi kuwa rafiki yangu... labda kama anatafuta mpenz..
Kama ni rafika sidhan kama kuna tatizo.

Basi mimi natafuta rafik wa kike...akimpata wa kike anipatie mim

hahahaaa hapo nimeelewa kumbe anatafuta rafiki bas hapo sawa
 
Anatafutwa mzanziberi wa forodhani yakhe...... (in Jotis voice) haya mkivuka bara mseme mapema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…