raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 314
Mimi ni kijana mwenye miaka 29, ni mtumishi wa uma. Elimu yangu ni shahada ya awali. Natafuta rafiki wa kike ambaye tutakuwa tunabadilishana mawazo na kushare mambo mbali mbali.
Mungu akipenda urafiki utapiga hatua zaidi napenda asizidi miaka 26.Pia awe mwenye hofu ya MUNGU.Mambo mengine tutafahamiana zaidi.
Mungu akipenda urafiki utapiga hatua zaidi napenda asizidi miaka 26.Pia awe mwenye hofu ya MUNGU.Mambo mengine tutafahamiana zaidi.