Natafuta rafiki wa kike, tuweze kuongea na kubadilishana naye mawazo wa maswala ya kila siku yanayotokea duniani. Awe kwanzia umri wa miaka 21 na kuendelea.
Kikubwa ni mtu wa kuwa na maongezi naye ya kimaendeleo.
Mimi ni kijana umri wa miaka 27. Ni mjasiriamali.
Kikubwa ni mtu wa kuwa na maongezi naye ya kimaendeleo.
Mimi ni kijana umri wa miaka 27. Ni mjasiriamali.