Kwa jina naitwa John,
Umri wangu miaka 28,
Elimu yangu ni Shahada
Ni mkazi wa Mwanza
Nipo hapa kutafuta rafiki/mwenza ambae yupo serious na anaejua nini maana ya maisha, na anaejitambua
Awe na umri kuanzia miaka 23 mpaka 30
Asiwe na tabia mbaya (mfano ulevi, umalaya)
Awe anaishi Mwanza au karibu na mwanza
Mcha Mungu.. (Dini sio kigezo kwangu)