Rafiki wa kike/Mwenza

Status
Not open for further replies.

Ba Alvin

Member
Apr 18, 2020
5
43
Habari wanajamvi wenzangu!!
Poleni kwa Majukum

Kwa jina naitwa John,
Umri wangu miaka 28,
Elimu yangu ni Shahada
Ni mkazi wa Mwanza
Nipo hapa kutafuta rafiki/mwenza ambae yupo serious na anaejua nini maana ya maisha, na anaejitambua

Awe na umri kuanzia miaka 23 mpaka 30
Asiwe na tabia mbaya (mfano ulevi, umalaya)
Awe anaishi Mwanza au karibu na mwanza
Mcha Mungu.. (Dini sio kigezo kwangu)

Kwa atakaekua tayari naomba ani DM au email ezekielpoint@gmail.com

Asanteni
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom