avic town
Member
- Oct 20, 2016
- 23
- 5
Habari ya asubuhi wadau, kama thread inavyosema am a man of age btn 30 and 34 nahitaji rafiki
au marafiki wa kike kw ajili ya kudiscuss mamambo ya maisha kwa ujumla na mitoko ya out na kupeana kampani,
NB, 1)Sitafuti mke labda itokee tu tumependana tukaamua iwe hivyo
2) in case tumepanga kutoka out nitagharimia usafiri wa kutoka kwake na kumrudusha hadi anapoishi though gharama nyingine kama msosi tunapokuwa tumeenda hotel aiandae kuchangia,
VIGEZO VYA MDADA/WADADA NINAOWATAKA.
1)EDUCATION --At least awe na diploma , degree na kuendelea.
2)Awe mrefu au wastani na asiwe mnene( watu wafudi arleady disqulified).
03) awe anaishi hapa dar coz mimi mwenyewe ninaishi hapa dar,
Tafadhali vigezo na masharti kuzingatiwa.
karibuni kwa pm ,