Rafiki yng anatafuta rafiki then awe mke.Awe yupo Arusha,miaka 23-25,umbo la kawaida,mweupe.Yeye ni mwalimu ana BA,karib
Evelyn nimesoma naye huyo best,so undani huko ni mgumu ila kwa namna nimjuavyo he is strong kwani amewahi mimbisha chuo.
Evelyn mwenzenu alitoa,ingawa jamaa alikuwa tayari kwa kila kitu.Nadhani imeeleweka.