Rafiki angu kaniharibia kazi

kibumu

Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
45
Reaction score
91
Naomben ushaur wenu jamani nifanye nini nina rafk angu kaniharibia kazi kwa maneno na hapa nafasi yangu ana kwenda kuichukua yeye na ni mtu ambae nlkua nikimsa idia sana nmechanganyikiwa natamani nmfanye kitu kibaya ila nikiwaza Mungu naamua kuacha tu
 
Chief
Pole kwanza kwa masaibu

Ila nakupa angalizo

Maisha yako yote,usijaribu kuiamini hata nafsi yako.
 
Kazi gani?
 
Kakufanyaje kwani , mbona husemi
 
Me o ke
 
Rafiki yako ni mkeo na watoto wako tu wanaonufaika na uwepo wako direct,sisi wengine ni tararira tu.Usimfanye chochote,ila iwe kwako ni sehemu ya funzo.
 
Hiyo kazi ni ipi? Una mkataba wa kazi? Sababu za kufukuzwa ni zipi? Umelipwa chochote baada ya kufukuzwa? ulipewa notis kwanza?
 

Wanadamu ndivyo walivyo.... Pole ujagunduabmapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…