kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,838
- 2,487
mpe namba nae abutue au unataka kumbania msela? Haina makombo hiyo
jirani salam kwakoEbanaaaaeeeeee!!
mekuhamu upo jiraniDuuuh
Jirani nipo ila we umepotea kidogomekuhamu upo jirani
nip jiran maisha tu naona hat njiani hatukutan siku hiz umebadil njia ninJirani nipo ila we umepotea kidogo
Jirani kule wamejenga ukuta siku hizi mpaka nizunguke kwa akina shunienip jiran maisha tu naona hat njiani hatukutan siku hiz umebadil njia nin
[emoji3] [emoji3] [emoji3]We unaonekana mchoyo
Na unaweza shangaa wakadumu mdaa mrefu sana tuuHuyu girl sina malengo nae, hata jamaa hana malengo just kupita tu. Ananitumia mm nimpe mawasiliano ya uyu girl bila kujua kua nimeshapita. Nawaza nimwambie ukweli kabla ya kumuunganisha au nimuache tu?
We bi bravo wa feminist kumbe? Kwan had wanaume c wanaachwaNa wewe kama huna malengo kwa nini umemtafuta dada wa watu? Kwanini unampotezea Muda dada wa watu? DAAH! alafu unasema kabisa mbele za watu huna time nae...MWANA UNA TUSHUSHA WANAUME WENZIO
ACHA KUMDHARIRISHA MWANAMKE
Kweli kabisa,si wanaume dhambi zingine tunajitakia tuNa wewe kama huna malengo kwa nini umemtafuta dada wa watu? Kwanini unampotezea Muda dada wa watu? DAAH! alafu unasema kabisa mbele za watu huna time nae...MWANA UNA TUSHUSHA WANAUME WENZIO
ACHA KUMDHARIRISHA MWANAMKE
Ule mguu wa bia uliupeleka wapi???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rafiki wewe siyo mchoyo nipe basi nami nifaidhi hiyo chura!We unaonekana mchoyo
Siku ukiingia kwenye nyuzi za watu unapenda kuzivuruga nishakushitukia.jirani salam kwako
Maneno yako yanamantic ila kutokumtafuna ni makosa piaIla jua hata ww unapotegemea ndo una malendo napo nayeye wala hana time naww anakula tu hela zako.............ila chamsingi acheni kumchezea dada wa watu hata kama mnamlaghai kutokana na hali yake either ya kiuchumi or vinginevyo acheni,fikiria kama angekuwa dada yako...........