Kwanini redio hizi nazo zinahusika kwenye Matangazo haya ambayo mengi ni ya uongo-uongo?
Mfano:"Aaa! jirani unahangaika bure, dawa ni moja tu!(anaitaja) zingine zote fake!
Huwa napenda kukaa mbele wakati wa ibada. Maneno yafuatayo ni ya kawaida sana: "waongo wote sehemu yao ni lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti"
Wao hawauogopi huo moto wa mateso makali sana?
Unageuzwa-geuzwa kama maandazi!