Radio ya Nissan x-trial 2004

Radio ya Nissan x-trial 2004

Doh mzee, ninaposema nahitaji radio ya Nissan x-trial 2004, namaanisha redio inayofit kwa dashboard yake, hii sio industry yako achana nayo au kajifunze

Sent using Jamii Forums mobile app
Usilete dharau, ninavyojua radio za magari zipo kwa "size" kulingana na hitajio lako bila kujali ya Nissan au Toyota nk. Radio zipo models nyingi tu
IMG-20181214-WA0011.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom