mkuu ulishawahi sikia windows ina radio....? mimi ni analogia ila nakwambia unaposikia online radios hazihusiani na OS ili mradi uwe na bando. kama unatumia browser kama torch utaona link ya online radios...kama unataka kusikiliza za kibongo east afrika ndo ipo hewani muda wote...nyingine zina mda muda...ili kusikiliza uta install plug in zake kwanza