Sasa wewe mpinga kristo ndiyo ushauri ushauri wako kati ya simu yangu na yako ni ipi ya kidada yangi jembe la kiumeni
Hamia android achana na simu za wadada!
Bwana Eeeeh Watu Mablackbell Nawachukiyaa.Yaaani Bando la Mwaka Unanunuwa Iphone.
Ungeweka hii ki2 jukwaa la tech n gadgets ungeshapata solution fasta. . apa watakushangaa na majungu tuu!