Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Ni kweli kabisa pikipiki hasa hizi za biashara maarufu kama bodaboda zina redio, tena zina muziki mkubwa kuliko hata mlio wa pikipiki yenyewe!Duh hiki ni kituko kwa kweli. Au labda sijaelewa. Yaani pikipiki zina radio? Inamaana huyo mwendeshaji anasikilizaje? Maana ukiwa unaendesha ule upepo na halafu umevaa helmet hivi utasikia nini? Maana hata ukisema uvae microphone inamaana unapunguza ule uwezo finyu wa kusikia chochote km honi nk ukiwa barabarani. Kama haya yapo, basi huenda takwimu za wanaopata ajali kwa pikipiki zitaongezeka.
Duh hiki ni kituko kwa kweli. Au labda sijaelewa. Yaani pikipiki zina radio? Inamaana huyo mwendeshaji anasikilizaje? Maana ukiwa unaendesha ule upepo na halafu umevaa helmet hivi utasikia nini? Maana hata ukisema uvae microphone inamaana unapunguza ule uwezo finyu wa kusikia chochote km honi nk ukiwa barabarani. Kama haya yapo, basi huenda takwimu za wanaopata ajali kwa pikipiki zitaongezeka.
mkuu usighadhabike hizo motorcycle za mchina kuna nchi hazipo wala haziagizwi kabisaaa,so dont blame.ni sisi tu huku ndio soko la kudump hizo toysyan kwenye jf kuna watu kama mapoyoyo inamaana hamjui radio zpo kwenye vyombo hvyo ufafanuliwe vp c wendawazimu huu
Wewe ndio utakuwa Poyopoyo. Hivi unajua kwenye nchi zetu ndio kuna vitu vingi saana vya ajabu. Hebu fikiria kelele za pikipiki, mvua, usalama nk uongeze na radio. Binafsi sijawahi kuona hiyo design na I wish niione maana ili usikie sijiu inakuwaje. Pia kama kila kitu kingekuwa kinajulikana au watu wanafanana, basi JF isingekuwepo.yan kwenye jf kuna watu kama mapoyoyo inamaana hamjui radio zpo kwenye vyombo hvyo ufafanuliwe vp c wendawazimu huu
vina kero hivyo barabarani kama wale wauza sumu ya panya
Duh hiki ni kituko kwa kweli. Au labda sijaelewa. Yaani pikipiki zina radio? Inamaana huyo mwendeshaji anasikilizaje? Maana ukiwa unaendesha ule upepo na halafu umevaa helmet hivi utasikia nini? Maana hata ukisema uvae microphone inamaana unapunguza ule uwezo finyu wa kusikia chochote km honi nk ukiwa barabarani. Kama haya yapo, basi huenda takwimu za wanaopata ajali kwa pikipiki zitaongezeka.
Pamoja na kwamba wahusika wamefumbia macho swala la kuweka Radio kwenye Bajaj na Pikipiki lakini nionavyo mimi jambo hili linahatarisha usalama wa watumiaji wa vyombo hivyo na watumiaji wa barabara kwa ujumla..
Nawasilisha..
Si ajabu siku umempandisha abiria ukaanza kuona anakata mauno huku mkiwa kwenye safariTunavyo endesha vyombo hivyo hatukati mauno ukiona abiria nae ameenza kucheza unamkataza anaweza kuhatarisha usalama.
tene redio zenyewe zinapiga wayowe km zile sabufa za haohao chi ha xui
Si ajabu siku umempandisha abiria ukaanza kuona anakata mauno huku mkiwa kwenye safari
Hahaha kwa style hiyo lazima tukukute Muhimbili kwenye wodi ya SANLG umening'inizwa mguu juuHuwa napata tabu sana nikipakia abiria kwenye tuk tuk alafu niweke wimbo wa Alaji alaji dah i see
Unakosa balance kabisa mauno nyuma huko