Radio inauzwaa

KOMWAA

Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
20
Reaction score
2
Radio ndogo aina ya SAST ambayo ni portable ina uwezo wa kutumia flash,pia ina FM.. Uwezo wake wa sauti ni mkubwa kwani ina Hifi pia haina haja ya kutumia umeme kwani unaweza kuichaji km simu na kuitumia si chini ya siku tatu..nI YA KISASA MPYA KABISAA Bei ni tsh 45,000. for serious business ni PM.
 
Mkuu tuwekee picha na nataka kujua radio yenyewe ina tuning ya digital au analog(kama zilivyo za radio za zamani) na vilevile tujuze frequency range yake tafadhali.
 
nataka kujua radio yenyewe ina tuning ya digital au analog(kama zilivyo za radio za zamani) na vilevile tujuze frequency range yake tafadhali

Radio tuning ni digital,pia freq ni mpk 108.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…