RFA ilikuwa na vipindi ambavyo radio nyingine zemcopy kwao, kipindi kinaaukwa vilivyo na Kiss Fm.
Bahati mbaya siku hizi unafungulia redio unapiguwa makelele ya bet na kule kiss fm ni waganga wa kienyeji wamechukua airtime siku nzima.
Utasikia Haroooo.......unataka ushuhutaah? Ulipona?