Ni kukosa ubunifu. Miaka nenda rudi hakuna ukarabati. sasaivi 90% ya muda wa Vile vipindi vizuri vyote wanatangaza kamari na utapeli tu, mara mchezo supa.. mara mchezo gani sijui.. upumbavu mtupuHivi hichi kituo kina matatizo gani ya kifundi? Ni mara kwa mara hakipo hewani kweye FM 88.3. Mchana huu tunasubiria wajiunge na DW lakini haipo hewani. Ni mitambo yao imechakaa au ni nin?
Hujui Diallo amefilisika ? Hapo anatafuta mbia watu wanamuogopaa uchawi na dhulumati balaaaa......Radio inamfia anajiona.....halipi salary na yeye hana hela sasaa....tafuta radio mbadala.....mkuuHivi hichi kituo kina matatizo gani ya kifundi? Ni mara kwa mara hakipo hewani kweye FM 88.3. Mchana huu tunasubiria wajiunge na DW lakini haipo hewani. Ni mitambo yao imechakaa au ni nin?
Mkuu CCM ni Mikosi kwa Tanzania kila kitu wao wanashindwa. Kama kiongozi wa Chama kashindwa kusimamia mambo yake je ndiyo ataweza kweli kusimamia mali za nchi.Ni kukosa ubunifu. Miaka nenda rudi hakuna ukarabati. sasaivi 90% ya muda wa Vile vipindi vizuri vyote wanatangaza kamari na utapeli tu, mara mchezo supa.. mara mchezo gani sijui.. upumbavu mtupu
Si bora aingia ubia na wawekezaji wengine.Hujui Diallo amefilisika ? Hapo anatafuta mbia watu wanamuogopaa uchawi na dhulumati balaaaa......Radio inamfia anajiona.....halipi salary na yeye hana hela sasaa....tafuta radio mbadala.....mkuu
Awagawie CCM kama walivyofanya wamiliki wa Kituo Cha Televisheni Cha Chanel Ten.Si bora aingia ubia na wawekezaji wengine.
Kulujira, mulesi, na marehemu sports lady Fatumagafus😀Rfa enzi za akina rahabu fredy stella setumbi wambura mtani neema ndeto salumu mkambala fredwaa, ilikuwa ni radio bomba haaaswa, ila kwa sasa mwee! imekuwa utopolo.
Ukata watembeze bakuli hata kanda ya ziwa tu tuwachangia.Hivi hichi kituo kina matatizo gani ya kifundi? Ni mara kwa mara hakipo hewani kweye FM 88.3. Mchana huu tunasubiria wajiunge na DW lakini haipo hewani. Ni mitambo yao imechakaa au ni nin?
radio one hawajiungi na DW, wao hujiunga na BBC Swahili saa kumi na mbili asubuhi na jioni. Hii RFA inajiunga na DW, BBC swahili na VOA ndio maana tunapenda kuifungulia yenyewe tu itupe matangazo ya redio hizo za kimataifaImefinywa labda, nje na hiyo ni radio one itafute
Kwa kweli inazingua sana jana uck nikaweka bbc muda wa saa tatu kamili duh ilikuwa ni balaa tupu ikabidi nirudi eatvHivi hichi kituo kina matatizo gani ya kifundi? Ni mara kwa mara hakipo hewani kweye FM 88.3. Mchana huu tunasubiria wajiunge na DW lakini haipo hewani. Ni mitambo yao imechakaa au ni nin?