Radio free africa haina msimamizi?

Radio free africa haina msimamizi?

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
3,156
Reaction score
3,626
Kwa muda wa karibu majuma mawili sasa kituo hiki cha Radio kimekuwa kero kwa wasikilizaji wake kwani mitambo imekuwa ikikatika kila baada ya muda mfupi sana na hivyo kuathiri continuity ya habari.hivi najiuliza hawana mtu wa kusimamia ubora wa matangazo ya kituo chao? halafu siku hizi imekuwa ni kawaida mtangazaji wa kipindi kuchelewa zaidi ya dakika 10,unajiuliza hawa watu wako serious na kazi kweli? badilikeni msifanye kazi kwa maazoea be serious.
 
Ni kweli siku hizi imechoka,imekimbiwa na watangazaji,yule HRM Rafael Shiratu amejikita kwenye chama zaidi,hata Kiss vile vile siku hizi choka mbaya. 'There must be something wrong somewhere'.
 
Watangazaji wanachelewa kwenye mikutano ya chama twawala si unajua mmiliki wake ni Mwenyekiti wa chama hicho jiji la Mwanza? Hata Star Tv wanachelewa,habari za uvunguni zinasema Boss ameongeza idadi ya maspy newsroom na kama habari haina maslahi kwa chama inabidi isirushwe ndiyo maana kuna kuchelewa mara kwa mara.Lakini usijali,tunazidi kumshauri Boss ili apunguze ukada na asiingilie uhuru wa chombo hiki.
 
Kwa muda wa karibu majuma mawili sasa kituo hiki cha Radio kimekuwa kero kwa wasikilizaji wake kwani mitambo imekuwa ikikatika kila baada ya muda mfupi sana na hivyo kuathiri continuity ya habari.hivi najiuliza hawana mtu wa kusimamia ubora wa matangazo ya kituo chao? halafu siku hizi imekuwa ni kawaida mtangazaji wa kipindi kuchelewa zaidi ya dakika 10,unajiuliza hawa watu wako serious na kazi kweli? badilikeni msifanye kazi kwa maazoea be serious.

huenda labda wanajiandaa kuingia kwenye digitali maana vituo vingi vya redio mfano jana kuamkia leo vilikua kwenye mchakato wa KUHAMIA KWENYE DIGITALI
 
Hiyo digital kwenye radio inakuwaje, na watakuwa na ving'amuzi?

Ahaa..haaa...Kwa upande redio hakuna ving'amuzi kwa kuwa FM band bado inakidhi vigezo. Kilichofanyika ni kubadilisha masafa ya radio hasa Dar kutokana na msongamano. Hivyo usihofu mkuu.
 
Jamani mbona leo siipati RFA, ndo wameshahama masafa au ni hiki kisimu changu cha tochi kimeshindwa kazi?
 
Back
Top Bottom