IKIRIRI JF-Expert Member Joined Jan 14, 2018 Posts 2,734 Reaction score 3,033 Mar 5, 2019 #1 Leo asubuhi kulikuwa na radi Kali ikiambatana na manyunyu ya mvua . Mwanafunzi1 wa mikindani sekondari iliyopo Mt mjini eneo la mikindani amefariki,pia wanafunzi wengine zaidi wamezimia. Nitatoe updates nawasiliana na mdau muhimu kule. Sent using Jamii Forums mobile app
Leo asubuhi kulikuwa na radi Kali ikiambatana na manyunyu ya mvua . Mwanafunzi1 wa mikindani sekondari iliyopo Mt mjini eneo la mikindani amefariki,pia wanafunzi wengine zaidi wamezimia. Nitatoe updates nawasiliana na mdau muhimu kule. Sent using Jamii Forums mobile app