Radhia Sweety wangu wewe

Zubeda-Mchuzi aka Radhia Sweety!
Nakushangaa sana kwa upuuz
Umekuwa msanii na mbaguz
Unashabikia makelele na ushuz

....endeleza!
 
Kijimbo cha kale lakini Kitamu sana... Nilikuwa naburudika sana niliponakisikiliza na kuwatch video yake... Dolo...

Kijimbo cha kale lakini Kitamu sana... Nilikuwa naburudika sana niliponakisikiliza na kuwatch video yake... Dolo...

Dah vijana wa kitaa enzi hizo...Moses alikuwa anakipaji ila Kundi la TMK hakupata nafasi kwakuwa kulikuwa na watu nyomi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…